Kwenye picha ni viongozi wa kamati ya maandalizi ya siku ya familiarization wakiandaa mikakati mbalimbali ya nini kifanyike siku hiyo ya tarehe 12 January 2011.
Tokea shoto ni Bw. Ahaz, Nia, Lee, Kishimbo, Judith, Anitha na BrendaWakijiuliza nini kifanyike.
Bwana Michael Karata ambaye ndiye mwenyekiti wa umoja wa vijana akiwasikiliza wajumbe wa kamati wakichangia hoja |
Bw. Renard Shayo ambaye ni mzee mlezi wa umoja wa vijana wa KKKT Kijitonyama
akiwa ameweka sample ya t-shirts yenye maneno "Arise and Shine" ambazo vijana watazivaa siku hiyo Bwana Ahaz akichukua notes za kikao
No comments:
Post a Comment