Siku ilianza kwa vijana kuutafuta uwepo wa Mungu kwanza kabla ya mambo yote. |
Kama wanavyoonekana wakiimba katika roho. Wakiimba nyimbo za kuabudu kabla maombi ya kuwatangulia hayajaanza.
Wakimtafakari Mungu Kama wanavyoonekana kwenye picha wakiwa kanisani
Baada ya kuwa wamewasili katika Hotel ya Kunduchi Beach Hotel upande wa Wet n Wild Wakiingia kwa umati kama picha inavyoonesha
Mazoezi yalichukua nafasi yake kabla semina hazijaanza
Hawa ni vijana wa umri wa kuanzia kipaimara na wale wa o-level. Wakiongozwa na mwalimu wao wa mazoezi Bw. Siaoforo Kishimbo (mwenye suruali ya rangu nyekundu)
Hapa ni vuta nikuvute vijana wanaimarisha viungo na kujenga afya zao kwa kufanya mazoezi
Bwana Gerald John a.k.a BIG akitoa huduma ya kwanza |
Huu ni upande wa 26yrs and above wakiwa kwenye mazoezi pia |
Mazoezi yaliwafanya wafurahie uwepo wao maeneo hayo
Ili mradi tu. Wengine hali wameweka miguu yao kwenye maji huku wakisikiliza matangazo kama wanavyoonekana kwenye picha
Kweli walijitahidi kuwepo kwa wingi, wengine wakiwa wamesimama wengine wamekaa
Hili nalo lilikuwa ni moja ya pozi kila mtu kwa style yake
Bwana Lenard Shayo akitoa maelekezo kwa vijana waliokuwepo
Pembeni mwa Bw. Lenard Shayo ni
Mchungaji wa usharika wa Kijitonyama Mch. Charles Mzinga
Alikuwepo pia kuhakikisha vijana wake wako salama na ratiba yao inaenda vizuri
Mwenye Bag Jeusi ni Mch. Lewis Hiza naye alikuwepo.
Siwajua wito wake kwa vijana!
Tunapoza miguu kidogo jamani!
Pale wachungaji wanapokutana na kutambulishana. Basi mambo yalikuwa hivi!
Mch. Charles Mzinga akiwatambulisha watumishi ambao walihudumu katika kuendesha semina kwa vijana.
mwenye shati jeusi ni Chriss Mauki, Akifuatiwa na Mch. Lewis HizaPraise and Worship Team ya siku hiyo wakiimba
Mwalimu Mgisa Mtebe naye hakukosa,
Ningeshangaa sana kama asingekuwepo!!
Vijana wakiufurahia uwepo wake. Kama anavyoonekana akifundishaWakiwa wanasikiliza kwa makini somo linalotolewa na Chris Mauki
Somo limekolea hakuna hata anayefunga kope
Mtumishi Mshana na Neema Munisi pia walikuwepo
Viongozi wa kamati ya maandalizi Bw. Ahaz Chali na Bw. Lenard Shayo wakiwa
busy kuhaki siku inaenda kama ilivyopangwaHawa nao ni viongozi.
Walikuwa busy jamani kuhakikisha vijana wanafanikisha siku yao
Mch. Lewis Hiza akifundisha vijana kwa umakini
Vijana wakiwa busy kuchukua notes. wengine wanasikiliza
Hili ni tent ambalo moja ya semina ilifanyikia humo
Mchungaji akipewa progress ya ratiba nzima ya siku hiyo na mlezi wa vijana Mr. Lenard Shayo
Ni pozi tu la kupigia makofi
Ni warm up tu baada ya kukaa kwa muda mrefu baada ya semina
Ni warm up tu baada ya kukaa kwa muda mrefu baada ya semina
Michezo mbalimbali ilitawala. Huu wa mpira wa miguu ulikuwepo pia
Vijana wadogo ndio walionza kucheza baadae wakacheza na kaka zao. Hatimaye vijana wadogo. namaanisha wale wa umri kuanzia kipaimara na walio o-level wakawafunga kwa mikwaju wale wa 26 and above
Sogea uone! |
Mungu awe nanyi daima!!nimewamissi sana natumaini kwa mapenzi ya Mungu nitawaona tena!.
ReplyDelete